Sunday, July 10, 2016

GIRLS IS LIKE INTERNET VIRUS



Girlfriend is like internet VIRUS.
She will ENTER your life,
SCAN your pocket,
TRANSFER your money,
EDIT your mind,
DOWNLOAD her problems,
DELETE your smile
&
HANG your life.
So avoid your girlfrnd & send her number to ME
Bcoz...i'm a professional ANTIVIRUS...😀😀😀😀😀😀😀😀




Saturday, July 9, 2016

USILETE UTANI KWENYE MAPENZI WEWE



*USILETE UTANI KATIKA MAPENZI*
_Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani anapendwa_
_na mume wake, hivyo akataka kujua mumewe_ _atafanya nini endapo ataamua kuondoka na_
_kumuacha!_
_Mwanamke huyo akaamua kuandika barua_
_inayosema *"Samahani mume wangu*,_ _*nimeamua*_
_*kuondoka na kwenda kuanza maisha mapya mbali*_
_*na wewe"*Barua hiyo akaiweka juu ya meza iliyokuwa_
_chumbani._
_Baadaye jioni, muda wa Mumewe kurudi_
_mwanamke huyo akajificha chini ya uvunguni_ _wa_
_wakitanda mule chumbani Mume alipoingia_
_chumbani akakuta ile barua juu ya meza,_ _akaisoma_
_kisha, akaandika maneno fulani kwenye ile ile barua,_
_halafu akaanza kuimbaimba kwa furaha huku_
_akipiga milunzi na akiwa anavua nguo.Akapiga_ _simu_
_na akasikika akisema hivi_ _*"hello mpenzi, nina raha*_
_*sana leo.. yule mwanamke nuksi ameondoka*_ _*mwenyewe bila kumfukuza*_
_*nakutuachia uwanja, jiandae*_
_*nakuja*~"Muda huo huo Mume akaondoka.~_
_Mwanamke alipokuwa uvunguni akawa analia na kutokwa na machozi akaamua kutoka_
_lakini amenyong'onyea na amelowa mashavu kwa_
_machozi._
_Akasogea pale ilipo barua na akataka kujua_
_mumewe aliandika kitu gani kwenye ile barua._
_Akakuta maneno haya *"nimekuona miguu yako*_
_*uvunguni tafadhali andaa chakula nina njaa sana*_
_*mumeo, ila nimetoka kidogo nafuata maziwa*_
_*nilisahau kupitia. Nakupenda mke wangu..*_
😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
_Hivi nani kampata mwenzakee_
_Km umeipenda plz share na mwenzako ujumbe aupate_
_Nimeipenda_

MAPENZI NI SHIDA SANA



Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae unajskia unaweza piga wanaume 8 kwa pamoja
Yani ile love mtashinda pamoja kutwa nzima afu usiku unakopa salio umpigie muongee
Yani yale mapenz kiasi ukiona love story za romeo na Juliet unaona hakuna wanachofanya coz mapenz yao hayafikii yenu..
ile true love akikuangalia machoni akuguse mashavu afu akwambie,"I love u"
Unajishikilia kwenye ukuta usizimie..
yani ukimfikiria unaweza kulala chini ya kitanda Ku dilute hiyo feeling coz ni too much..
Umewahi kufeel hivyo??
Kama ushawai experience hivyo?? Basi HIYO SIYO "LOVE" NI "BANGI" PLZ ACHA KUTUMIA!
😂😂

UTAFANYA NINI?



VUTA PICHA NDIYO IMEKUKUTA WEWE.. .
Mfano wewe ni dereva bodaboda unapigiwa simu kumfuata mteja gest na wewe unaenda maana ndiyo kazi yako, sasa ile unafika tu! Unakuta mteja mkeo, akiwa na jamaaa mlangoni wanatoka ndani gest wakiwa wameshikana mikono na jamaa anakwambia muwahishe nyumbani kwake kabla mume wake hajarudi na wewe ndiyo mume- je utambeba!? Na je utampeleka wapi? 

NAOMBENI MSAADA JUU YA HILI



Mimi ni mdada na ninamwanaume wangu nileyekuwa naye kwa muda wa miezi sita sasa ninampenda sana lakini kuna jambo linalonitatiza mwanaume huyu jamani hachoki kabisa katika kufanya mapenzi yani kwa siku anaweza kwenda hata mara tano na kesho pia, na hata wiki nzima yeye haoni cha ajabu..

jamani huu sio ugonjwa? huyu mwanaume ni mzima kweli? siku nyengine hata nikiwa katika hedhi anaomba nimpe anachoniambia nikwamba nikanawe halafu yeye atavaa condom ili aendelee, nimemueleza shangazi yangu mmoja akaniambia anaweza kuwa na jini la mahaba kwahiyo ni afadhali tu niachane naye..

kwa kweli nampenda sana lakini hili jambo lake silielewi kabisa, maana mara nyingi mimi nakuwa nimeshachoka nafanya tu kujikaza ili afike kilele na atoke juu yangu, yani mpaka hamu inaisha kabisa...

SABABU ZA UGOMVI KATI YA MKE NA MME



Ugomvi baina ya wapenzi katika mahusiano ni kitu cha kawaida kutokana na watu hao wawili kutoka katika malezi na mazingira tofauti ya ukuaji toka wakiwa wadogo hadi watu wazima.
Wawili hao wanapoaanza kujenga mahusiano na kukaa pamoja kama familia,kuna vitu kadhaa ambavyo kila mmoja wao huvitazama tofauti na hivyo kuleta migongano. Migongano ambayo inaweza ikarekebishika kama wenza hao watamua kuifanyia kazi na kuelewana.
Kuna vitu vingi ambavyo husababisha ugomvi na migongano ndani ya mahusiano ya mke na mme na hapa tunaeleza sababu kuu ambazo kwa kawaida hutokea karibu katika kila mahususiano

1. Wivu Na Kukosa Kujiamini

Wivu unatokana na jinsi ambavyo mpenzi mmoja anavyohusiana na watu wengine wa jinsia tofauti. Inaweza ikawa marafiki,wafanyakazi wenza au wapenzi wa zamani. Vyovyote vile itakavyokuwa ni kwamba wivu unasababisha ugomvi katika mahusiano mengi.
Kunatakiwa kuweka mipaka ya kutosha na iliyo wazi ili kujenga uaminifu kwa mpenzi wako na kumpa kujiamini. Mpenzi ambaye hajiamini ni tatizo kubwa kwani uwezekano wa kuanzisha ugomvi ni mkubwa.Hivyo ni vizuri ukamjengea mweza wako katika mapenzi kujiamini kwa kuwa mwaminifu.
Uaminifu ni kitu kimoja kikubwa sana katika mapenzi. Kama mwenza wako akikuamini hakutakuwa na wivu wa kupita kiasi na pia atakuwa anajiamini kuwa yeye peke yake ndio chaguo lako na hakuna mwingine.

2. Mawasiliano Finyu

Mawasiliano yanapovunjika katika mahusiano ugomvi ni kitu cha kawaida kutokea.
Mawasiliano ya kawaida kati ya wapenzi husaidia sana kutoa wasiwasi wa nyendo za mwenza wako. Huleta amani na kujenga uaminifu kwa mpenzi kwako.
Kuzungumza juu ya mipango yako ya mendeleo kama ujenzi au biashara ni vitu ambavyo ni muhimu sana kuvifanya vinginevyo utajenga wasiwasi kwa mweza wako na itasababisha ugomvi wa mara kwa mara.
Kuwa muwazi kwa mipango ya maendeleo binafsi,ya familia yako na ndugu.
Utafiti unaonyesha kuwa wapenzi wanaoongea na kusikilizana mara kwa mara hawagombani mara nyingi kama wale wasio na mawasiliano ya kutosha.

3. Masuala Ya Fedha

Japokuwa fedha si msingi wa mapenzi,lakini ni kitu ambacho kinahitajika sana katika maisha ya kila siku ya kila mtu na ya familia. Na kimekuwa ni mojawapo ya vitu ambavyo wapenzi katika mahusiano au ndoa hugombana sana juu yake.
Mwenza mmoja anapokuwa mtumiaji mbaya wa fedha na mwingine siyo,huibua malalamiko na ugomvi. Baadhi ya wapenzi hasa wanawake hawataki kuchangia kwa kiasi kikubwa katika mahitaji ya msingi ya nyumbani na badala yake kuwaachia mzigo mkubwa wanaume.
Hili linaibua malalamiko mengi kwa baadhi ya wanaume,na wakati ungine toka kwa wanawake. Matumizi makubwa ya fedha kwaajili ya pombe na sharehe nyingine kwa wanaume na baadhi ya wanawake kumekuwa mojawapo ya sababu za ugomvi juu ya fedha katika mahusiano.
Ni muhimu kwa wenza wawili kupanga jinsi ambavyo fedha zao zitapatikana na kutumika. Vipaumbele vya kufanyika kwanza na kiasi cha kutumika kwajili ya starehe na urembo kwa wanawake kwa mfano.

4. Masuala Ya Familia

Familia ya nani ianze kwanza na ipi ifuate ni tatizo kubwa katika mahusiano. Upendeleo wa upande mmoja ambao kwa asili huwa unatokea tu ni chanzo cha ugomvi ndani ya nyumba.
Mitazamo tofauti kati ya mmojawapo katika wapenzi na familia ya mwenza wake husababisha kutoelewana kwa wapenzi hao ndani ya nyumba.
Mbaya sana inakuja pale wanandugu wanapoingilia mambo ya ndani ya nyumba yenu. Wazazi wa kike na mawifi mfano, wamejulikana kusababisha matatizo mengi kwenye familia za watoto na kaka zao.
Kuepukana na hili ni muhimu kwa wapenzi ndani ya nyumba kuweka mipaka kwa ndugu ambayo haitaathiri uhusiano nao kama ndugu.
Pia ni muhimu kwa wenza hao kuweka mikakati ya pamoja juu ya kuhusiana nakusaidia ndugu toka katika familia zao mbili.

5. Suala La Unyumba

Japo kuwa suala kufanya mapenzi si kila kitu kwa wapenzi ndani ya nyumba lakini linachangia sana katika kuleta ugomvi aina yao. Kufanya mapenzi kupita kiasi au mara chache kunaleta matatizo kwa wapenzi hasa ambao wana uhitaji tofauti.
Wengine wanaona kama mpenzi ambaye hahitaji kufanya mapenzi mara nyingi na mwenzake labda anauhusiano na mtu mwingine zaidi yake. Au hamvutii tena kama zamani na huenda akaanza kuangalia nje.
Hii inajenga kutojiamini na kupoteza uaminifu,ambalo ni tatizo jingine kubwa katika mahusiano kama tulivyoonesha mwanzoni.

6. Vipaumbele Katika Maisha

Wapenzi wawili wanapokuwa na mipango na malengo tofauti ni tatizo kubwa. Watu wanapokuwa katika uhusiano ambao ni wa kuishi daima,malengo na vipaumbele vyao ni lazima vioanishwe na juhudi za kila mmoja zilenge katika kufanikisha mipango hiyo ya pamoja.
Kunapotokea kuwa kila mmoja ana malengo tofauti basi hata vipaumbele vitakuwa tofauti na hapo ndipo shida zinapoanzia.

7. Uaminifu

Uaminifu katika mahusiaono ni jambo la muhimu sana. Bila uaminifu ni ngumu sana kwa mahusiano yoyote kudumu.
Uaminifu ni kitu ambacho hujengwa kwa muda mrefu na kikipotea ni ngumu sana kukirudisha. Japo inawezekana kujenga upya uaminifu lakini huchukua muda mrefu sana.

8. Wapenzi,Marafiki Na Maisha Ya Zamani

Mojawapo ya vyanzo vya ugomvi kati ya wapenzi ni wapenzi wa zamani. Mawasiliano ya aina yoyote na wapenzi wa zamani huleta wasiwasi mkubwa kwa mpenzi wa sasa. Ni kitu ambacho wapenzi wawili wanahitaji kuongea na kupanga jinsi ya kuepukana na matatizo ambayo yanaweza kusababishwa na historia zao za maisha.
Kuepukana na hii ni vyema kuvunya uhusiano wa aina yoyote na wapenzi wa zamani labda tu kama wapenzi hao ni wazazi wenza au mnafanya kazi pamoja na ni ngumu kutokuonana au kuwasiliana.
Suala linalofanana na hili ni uhusiano na baadhi ya marafiki wa jinsia moja ambao wanachukuliwa kuwa mfano mbaya na mpenzi wako. Kama haiwezekani kutowasiliana na kuonana na wapenzi wa zamani au marafiki, basi ni vyema wakawa marafiki wa familia nzima na mawasiliano yoyote kati yenu nao yawe wazi pasipo kificho.

9. Watoto

Suala la uleaji na ukuzaji wa watoto linasababisha ugomvi mara nyingi kati ya wazazi. Jinsi gani mtoto avae au shule ipi aende linapelekea wazazi wengi kugombana.
Ni jambo la muhimu sana kukubaliana juu ya mambo ya msingi juu ya malezi ya watoto. Tofauti za wazazi ziangaliwe kwanza vinginevyo zitaingilia malezi ya watoto na kusababisha ugomvi juu yao.

10. Kazi Za Nyumbani

Imekuwa kama utamaduni kwa waafrika kuacha kazi nyingi kama si zote za nyumbani kwa mke. Kwa Wanawake ambao wanafanya kazi pia inakuwa ngumu sana. Hili linasababisha pia ugomvi kwa wapenzi nyumbani. Kama nguo ambazo mume anazivaa na kuzichafua tu bila ya kujali kuwa mweza wake ataumia wakati wa usafi na ikiwa yeye mwenyewe hajishughulishi na kufanya baadhi ya kazi za nyumbani ni wazi itasababisha ugomvi.
Ni vyema wanaume kuchukua baadhi ya majukumu nyumbani hata kama kutengeneza bustani au kulisha chakula mifugo.

Faida Ya Ugomvi Kati Ya Mke Na Mme Katika Mahusiano

Japokuwa ugomvi ni kitu cha kuepuka,lakini kina uzuri wake katika mahusiaono kama kikichukuliwa vizuri na kutumika kama kioo.
Kama mtu anagombana na mpenzi wake kwa madhumuni ya kuboresha ni kitu kizuri. Hii inaonesha kuwa anahitaji kuwa na wewe na anahitaji amani.
Ugomvi na mifarakano pia inatoa nafasi kwako kujiangalia vizuri na kama kinacholalamikiwa na mwenzio kina ukweli basi ni nafasi ya kujirekebisha.
Ni mategemeo kuwa kuna kipindi ambapo ugomvi utakuwa mkubwa na baadae wapenzi hao wataelewana na kurekebisha mambo yao.
i.  Ugomvi Unatoa Nafasi ya Kuongea Mambo Magumu
Wakati mwingine mazungumzo ya kawaida hayatoi nafasi ya wapenzi wawili kusema yale ya ndani na yanayozizonga nafsi zao. Ugomvi hufungua milango ya hisia za ndani na huenda vyanzo vya matatizo vikawekwa wazi na hivyo kufanyiwa kazi.
ii. Ugomvi unaonyesha Kuwa Mnajali na Mnataka Maboresho
Katika uhusiano ambao wenza hawajali,au hawana malengo ya muda mrefu huwa hawatoi duku zao juu ya utofauti na wapenzi wao.Hivyo wapenzi wanaogombana wanaonesha kuwa wana nia ya dhati na mwenzao na sio tu kupitisha muda.
iii. Ugomvi Unaboresha Uhusiano
Kwa muwa ugomvi unaibua hisia zilizojificha toka kwa wapenzi,ni wakati mzuri kuona matatizo ya kila mmoja. Na kama wapenzi hao wana nia ya dhati ya kuwa pamoja basi watafanyia kazi tofauti na mataizo waliyonayo. Hivyo kuboresha mahusiano yao

WANAWAKE WANAVUTIWA NA NINI KWA MWANAUME?

Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume



Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua unatakiwa kufanya nini kwa ajili ya kulifanya penzi lako lizidi kuchanua.

USAFI BINAFSI

Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda sana usafi. Ni aghalabu sana kukutana na mwanamke asiyejipenda. Ndiyo maana wanaitwa mapambo ya nyumba au la nyumba! Ni kwa sababu ya hulka yao ya kupenda sana usafi.
Mwanamke anavutiwa sana na mwanaume mtanashati. Usafi wako unamfanya ajiamini kuwa na wewe. Hata nyumbani kwako, lazima uishi katika nyumba safi. Hata anapokuja kukutembelea, anakuta mazingira masafi kuanzia sebuleni hadi chumbani.
Anapokukuta katika hali ya usafi, inakuwa rahisi zaidi yeye kuanzia hapo alipokukuta na kuendelea mbele.

KUJIAMINI

Mwanamke anajisikia salama zaidi akiwa na mwanaume ambaye anajiamini – mwenye uwezo wa kutetea hoja zake na kujieleza sawia. Siyo anayebabaika. Suala la msimamo binafsi, kwa mwanamke ni kubwa kuliko hata kumnunulia manukato mapya!
Mathalani unakuwa naye katika mtoko, angependa kukuona ukiwa katika hali halisi ya maisha yako, usiyeyumbishwa na mwenye kutoa maamuzi yasiyoyumba.
Wakati mwingine, mwanamke anaweza kukupima hata katika jambo ambalo amekosea yeye, ataangalia unavyotoa maamuzi yako, lakini pia atafuatilia kuona kama utakuwa mwepesi wa kuyabadilisha.
Anataka kuona msimamo wako muda wote. Mwenye kujiamini na mawazo yasiyo na matege wala makengeza!

KUJITETEA

Kipengele hiki hakina tofauti kubwa sana na kilichopita, lakini hapa ni kwenye upande wa kujitetea zaidi. Wakati unapodai haki yako mbele ya mwanamke wako, suala la kujitetea linapewa nafasi kubwa sana.
Wanawake hawapendi kuwa na wanaume ambao wapo tayari kuonewa. Wanataka wenye uwezo wa kusimama kidete kuona haki zao hazichukuliwi kirahisi.
Hili si suala la kutetea tu haki yako pekee kama mwanaume, bali inapobidi kusimamia haki ya mwanamke wako. Nisieleweke vibaya katika hili, lakini mwanaume imara ni yule ambaye ana nguvu – anafanya mazoezi na ambaye yupo tayari kwa lolote!
Inapowezekana, uwe na uwezo wa ‘kuzichapa’ ikiwa mtakutana na vibaka au watu wabaya wenye lengo wa kukudhuru/kuwadhuru au kumdhuru mpenzi wako.
Mwanaume aliye ‘fiti’ ni chaguo la wanawake wengi. Si mnyonge. Mpole kupitiliza na aliye tayari kuonewa! Huyu hana nafasi.

KUJALI

Wanawake wanapenda sana wanaume wanaojali. Wanawaona wao ni kila kitu na wanaotoa kipaumbele kwao. Kama huna tabia hiyo, ujue upo katika nafasi kubwa ya kumkwaza mpenzi wako. Mjali mpenzi wako kwa kila hali.
Kumjulia hali kila wakati na kutaka kujua maendeleo yake, kutakupa nafasi kubwa sana ya kuendelea kudumu katika uhusiano hai.

UKARIBU

Kati ya vitu vinavyowapa mshawasha mkubwa wanawake ni pamoja na kusogezwa karibu. Hapa ni kuwa naye katika mambo mengi unayoyafanya kila siku.
Ni vizuri kuwasiliana naye mchana, ukitaka kujua aina ya chakula alichokula siku hiyo au ikiwezekana mchagulie. Ni mambo madogo sana lakini yanayoongeza nakshi katika mapenzi.
Yapo mengi sana ambayo kwa kuyafanya utakuwa umemsogeza mpenzi wako karibu yako. Hebu tumia ubunifu wako ili uweze kuteka hisia za mwenzi wako kisawasawa!


KUMSIFIA

Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbili tofauti wanavyotambulishana kwa jamaa zao.
MWANAUME: “Peter kutana na mke wangu, anaitwa mama Diana. Nipo naye mwaka wa tatu sasa, tuna watoto wawili, huyo Diana na mwingine anaitwa Cris. Mama Diana, huyu ni Peter nilisoma naye A – Level, Tosamaganga Sekondari.”
MWANAMKE: “Suzan, huyu ndiye mume wangu mpenzi...anaitwa Elifaraja lakini mimi napenda zaidi kumuita Elly. Kiukweli nampenda sana mume wangu jamani, tuna mtoto wetu mmoja, anaitwa Agness. (Akimgeukia mumewe) Baby, huyu hapa ni rafiki yangu Suzan. Yaani tumekua naye mtaa mmoja huko Arusha.”

ANGALIA TOFAUTI

Bila shaka kwa namna wawili hao walivyotambulishana unaweza kuona tofauti kubwa. Mwanaume amemtambulisha mkewe kawaida kabisa, hajaonesha manjonjo au namna anavyompenda na kumthamini mwenzake, lakini mwanamke amefanya hivyo.
Sikia nikuambie, KUMSIFIA mwanamke, kuna nafasi kubwa sana kwake. Chunguza kwa makini, hata kunapokuwa na mgongano katika familia, halafu wakatokea wageni, baada ya utambulisho na mazungumzo ya hapa na pale, wageni wakiondoka kunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kumaliza mpasuko katika familia.
Jenga utamaduni wa kumsifia mpenzi wako, unamuweka katika kilele cha upendo. Anajiona kamili, peke yake na mwenye nguvu kwako. Anajiamini na unamfanya azidi kukupenda kwa kuwa anaamini yupo na mwanaume ambaye anajivunia kuwa naye.

MALENGO

Wanaume wengi wana ulemavu mmoja; hawapendi kuwashirikisha wanawake katika mambo yao. Wanapenda kufanya mambo yao kwa siri na wakati mwingine ikilazimika kumwambia mkewe basi kwa mshtukizo baada ya kukamilisha jambo husika.
Hii si sahihi. Dunia ya leo imebadilika rafiki zangu. Inawezekana wazee wa zamani walikuwa sahihi, maana ilikuwa ni suala la kununua ng’ombe na kuwaweka katika zizi kwenye kijiji cha jirani, halafu wanapewa malisho mazuri, baada ya miaka miwili wanazaliana, hapo ndipo anamweleza mkewe.
Siku hizi dunia imebadilika, kuna mambo mengi. Kuna suala la hasara katika biashara, utapeli n.k. Mkeo ndiye rafiki yako mkubwa kuliko wote, ndiye ndugu yako wa karibu zaidi kuliko yeyote. Yes! Mkeo ndiye ndugu yako maana umetengeneza naye familia. Mmeshirikiana kuzaa watoto na kujenga maisha pamoja.
Yeye anapaswa kujua mambo yako, ndiye mtetezi wako nambari wani. Mweleze juu ya malengo yako, wakati mwingine anaweza kukusaidia sehemu ambayo hukutarajia.
Hata hivyo, kumshirikisha katika malengo yako, kunampa nguvu na nafasi ya kujiona mama katika familia yenu. Msaidizi kamili wa nyumba yenu.

KIPAUMBELE

Kuna wakati wanawake huwa na mambo yao binafsi. Kazini au kifamilia. Inawezekana akatatizika katika eneo fulani ambalo kwa namna moja ama nyingine atahitaji usaidizi wako. Ikitokea mkeo akawa katika hali hiyo, msikilize.
Mathalani ana tatizo la kifamilia, amekuambia mmoja wa wazazi wake anaumwa, msaidie. Si lazima kifedha, lakini kuonesha kujali kwako tu, kutampa matumani kwamba anaishi na mtu sahihi. Acha kupuuza mambo yake; hata yale madogo, kama ya ‘mtoto wa dada amerudishwa ada shuleni’.
Msikilize, mshauri panapofaa kufanya hivyo na ukiweza msaidie hata kifedha. Katika upande wa pili ni hivyo hivyo. Labda una tatizo binafsi, kazini kwako au kifamilia, mshirikishe.
Unaweza kushangaa jambo ambalo uliamini unaweza kulimaliza peke yako, kwa kumshirikisha likawa jepesi zaidi na mambo yakaendelea vyema. Kipaumbele kwa namna yoyote ile, kunaongeza mapenzi zaidi kwa mwanamke.

TENDO LA NDOA

Hiki ni kipengele nyeti, kinachohitaji lugha nzuri ya kirafiki kukifafanua. Hakuna siri, tendo la ndoa ni moja ya kiwakilishi cha ndoa. Maana hata maandiko yanasema: “Mwanamke ataacha wazazi wake na kwenda kwa mumewe, nao watakuwa mwili mmoja.”
Kimsingi tendo la ndoa lina nafasi yake. Ni muhimu likaheshimiwa na kutengewa muda maalum wa kufurahia. Si papara. Kwa bahati mbaya wanaume huwa si wafuatiliaji sana wa kujua namna ya kuwafurahisha zaidi wenzao. Wenyewe wanajiwazia wenyewe. Wanafikiria namna ya kuwakomoa wenzao.
Si sahihi. Tendo la ndoa halina maana ya kukomoana. Jenga mazoea ya kufanya maandalizi kamili kabla ya tendo. Sikiliza hisia za mwenzako. Ukiweza kumjulia mke wako katika eneo hili, ni wazi kwamba utazidisha upendo wake kwako, lakini pia atakuwa katika kuta za uaminifu. Akatafute nini nje wakati wewe ndiye mganga wake unayeweza kumtibu barabara?


SABABU KWANINI MWANAMKE NI RAHISI SANA KUMSALITI MPENZI WAKE?



#1 Wanawake huwa na mazoea ya kumzoea mtu kwa haraka zaidi. Ni rahisi sana kwa mwanamke kutengeneza uhusiano wa kihisia na mtu mwingine kwa haraka, hii inawafanya kuwa rahisi kumzoea mwanaume na kudhania hayo mazoea aliyoyaanzisha ni mapenzi.

#2 Wanauwezo wa kupenda Mwanaume yoyote anaowaonyesha kuwajali na kuwapa msaada wa kihisia. Ni kweli, kama unataka umuibe mpenzi wa mtu muonyeshe kumjali na kumpa msaada wa kihisia, akiwa na siku mbaya jaribu kuitengeneza iwe nzuri na mpe misaada midogo midogo naye atakupa kitanda cha kulalia.

#3 Wanawake hupendelea kuendeleza kizazi. Kibaiolojia wameumbwa hivyo kuwa na hitajio la kuendeleza kizazi hivyo hujikuta wanaangalia wanaume wengine wenye sifa nzuri zaidi ya kutayarisha kizazi kijacho.

#4 Wanawake huanguka kimapenzi kwa urahisi zaidi. Huangukia kwenye mapenzi kwa uharaka zaidi kwa yule ambaye atawaonyesha hisia za kuwataka, wanaweza kuwa wanapenda kucheza michezo ya kukuzungusha ila mwisho wa siku hujikuta wanahisia flani juu yako iwapo ukiwa king'ang'anizi na mbwembwe za kimahaba, huku ukionyesha unaupendo wa dhati.

#5 Wanawake huwa ni wageuzi wa mambo. wanapenda wakiwa na mwanaume wambadili kwa jinsi wamtakavyo wao, wakisha mbadili wanaboreka na kuanza kutafuta mwingine, kwahio siku zote msichana asikubadilishe anavyokutaka yeye, akikubadilisha tu anaboreka, unakuwa haumpi akshi tena ya kukuona angavu kama awali na wewe na kutafuta mgumu mwingine wa kumfanyia mabadiliko, hakikisha asikuelewe na mshitukize kwa mambo ya hapa na pale kumpoteza zaidi.

#6 Wanawake wanapenda michezo ya kuigiza na umbea. Wanawake wanaboreka kirahisi sana na huitaji uwape kipaumbele muda wote, mwanaume anapoanza kumpenda kupitiliza, yeye ndo anaanza kutokua na hamu tena ya hayo mapenzi, ndo maana waswahili husema "usimuonyeshe mwanamke kama unampenda".

#7 Hawajielewi ni kipi hisia zao zinataka, na huwa hivi mara nyingi. Msichana anaweza kuwa anampenda mwanaume ila mabadiliko ya hisia zao kama kupwa na kupwaa kwa bahari akawa kama saa nyingine anampenda na muda mwingine akawa kama hana shida naye na kumponda, kwa hio ukiongeza mwanaume mwingine kwenye hio hadithi nadhani utakuwa unapata picha.

#8 Wanawake wanapenda kusifiwa na kuonyeshwa kupendwa. Wanawake hujisahau wakianza kusifiwa na kutongozwa kwa kuguswa. Mwanaume akianza kumtongoza mwanzo huhisia labda anamtania ila kwa uhalisia inawezekana akawa anaangukia kimapenzi kwa jamaa hata kama jamaa anatania.

#9 Ni rahisi sana kumfanya msichana awe na mashaka na mpenzi wake. Jamaa mwingine anachotakiwa kukifanya ni kumuonyesha mapungufu ya mpenzi wake, kuongea vizuri, kumshika sehemu chache, na hapo kutamfanya msichana aanze kufikilia mpenzi wake si lolote si chochote, na huyu jamaa alienae ni mungu wa mapenzi na anampenda kufa na kupona.

#10 Wanawake husema hawapendi kuharibika kifikra. Ila kiuhalisia kitu wanachokifikilia ni kitaka kupotelea kwenye starehe zote za kidunia, kila mara mwanamke anapotongozwa huwa hujisahau kuwa anampenzi tayari!

#11 Wanawake hufumba macho wakati wanambusu mwanaume mwingine.Ndio hivyo, fumba macho yako na iwapo ukiulizwa sema mambo yalitokea kwa uharaka sana, wanawake hujikuta wameshafanya mapenzi na mwanaume mwingine na kusema yalikuwa ni makosa amekosea tu au anaweza kung'ang'ania haijatokea na hauna kidhibiti unasikiliza maneno ya watu, ulishawahi kuona wapi watu wakaongelea kitu ambacho hakijatokea?

#12 Wanawake sikuzote huhisi wapo kwenye matatizo ya kimahusiano.Mahusiano ya mwanaume na mwanamke yakidolola na kutokuwa na hakshi za kimahaba mwanamke huhisia kuna tatizo la kimahusiano, hivyo mwingine akija akaonyesha akshi zaidi.. Mmmhn, hapo jibu unalo.

#13 Wanawake wote huhisi wao na bora sana kwa wapenzi wao. Haya maono sijui wanayapata wapi, utamsikia "Shukuru upo na mie, angekuwa msichana mwingine asingekuvumilia!". Kwa mwendo huu unadhani atashindwa kuharibiwa iwapo jamaa mwingine anaejua kujikweza akijipanga vizuri?

#14 Wanawake husaliti kwa sababu za kipuuzi zaidi. Wanaume husaliti wakimpata mwanamke anaetamanisha kimahaba, ila mwanamke husaliti kwa sababu ya kumkomoa mwanaume, au kumuonyeshea mwanaume, au kitu chochote kingine kujionyesha yeye bado binti wanaomtaka ni wengi.

#15 Wanawake wanamatamanio. Ambayo ni chokuleti na sifa nyingine ambazo mpenzi wake hana, kama mpenzi wake sio msafi, akija jamaa au mfanya mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtanashati, atajikuta anaanza kuvutika nae kwa sababu ya usafi, kwa hio kama mwanaume anamtaka msichana wa mtu anachotakiwa kufanya ni kumsoma ni kipi jamaa yake ambacho hana na akitumie vizuri ndani ya siku chache atakuwa na huyo msichana kitandani.

#16 Wanawake huvutika kwa mwanaume ambae anawafanya wajisikie vizuri.Wanaume huvutika na wanawake wenye maumbile ya kimahaba, kwa hio kumpata mwanamke wanaomuota huwa ni kazi ila wanawake huvutika na mwanaume yoyote yule, hata mjinga mjinga anaejua kumfanya ajisikie vizuri kuliko anavyokuwa na mwanaume wake, mwanamke atajikuta amesharubuniwa kupelekwa kitandani.

#17 Mwanamke ni mpenda vitu. Kama mwanamke uliyenae ni mpenda vitu na raha unazompa, na hayupo kihisia na wewe basi jua ni muda tu kabla hajakusaliti.

#18 Wanawake hufanya usaliti hisia zao zikiwa katika mazingira magumu.Wanaume wanahitaji mwanamke mwenye umbo la mitego kufanya usaliti, ila wanawake wanahitaji kuhisi wapo katika mazigira magumu kihisia, na hujihisi wapo katika mazingira magumu kwa sababu ndogo ndogo na mazingira, jamaa mwingine akijipanga na kuongea maneno matamu katika wakati mzuri anaweza kumpata usiku huo huo.

#19 Wanawake walio na msimamo katika mapenzi hupenda pia kuangaliwa na wanaume wengine. Ikiwa mwanamke hapewi kipaumbele na mwanaume aliyenaye, hujisahau na kukuta wakiangalia kwingine ili ajione bado analipa.

#20 Wanawake huwa hawajfunzi kutokana na makosa. Wanawake wakifanya makosa hujutia ila huwa hawawezi kujifunza, huwa wanajua pale mwanaume mwingine anapovuka mstari ila huwa hawamkemei kwa sababu wanapenda kuona wanatakwa.

#21 Wanawake husaliti wakiwa hawafurahishwi kitandani. Je unamwaga mapema au unatatizo la kukurupuka bila kupangilia mashambulizi na kumuandaa mpenzi wako? Hii ni sababu tosha ya mwanamke kukusaliti.

#22 Mahaba ya mwanaume yanapopungua. kama wanamke hatokuwa anavutika na mwanaume wake tena, hio ni sababu tosha ya kumfanya atafute mahaba yanayomkosha kwingineko.

#23 Wanawake hutongozwa zaidi. Mwanamke hutongozwa na mamilioni ya wanaume kila sehemu anapokwenda, unahisi itamchukua mda gani mpaka shetani atakapomchukua na kufanya jambo ambalo badae atalijutia? Wanaume wengine ni wataalamu matata wa utongozaji na wanaijua vizuri kazi yao na jinsi ya kutoa vishawishi kwa viumbe hawa dhaifu.

#24 Mwanamke akisha fanya mara moja ndo mazoea. Mwanamke anaweza kusaliti na mwanaume wake asijue ila baada ya muda hujikuta kasaliti tena, wanawake wanahisia mbaya ya kuangukia mapenzi kwa vishawishi.

#25 Hivi wanawake kweli huwa wanahitaji kuwa na furaha? Mwanamke anaweza kuwa kwenye uhusiano mzuri wa muda mrefu ila akija kukutana na mwanaume mwiba wapenzi za watu hujikuta anaangukia kwenye vishawishi na kuangukia kwenye mapenzi ya nje. hujawahi kuona mwanamke kwenye familia mume anahela na uwezo mkubwa ila anachukuliwa na hausi boi?, wanawake huwa wanahitaji furaha ya muda na mvurugano wa mawazo kwa muda mwingine uliobaki.

Friday, July 8, 2016

MADHARA YA KUTOKUFANYA MAPENZI MUDA MREFU



MADHARA  YA KUTOFANYA MAPENZI
KWA MUDA MREFU.
1. Hasira Za Mara Kwa Mara Katika
Mambo Madogo.
2. Kupendelea Sana Kuangalia Picha
Za Uchi,
3. Kusahausahau,
4. Kupendelea Story Za Mapenzi,
5. Kutokwa Damu Nyingi Wakati Wa
Hedhi (Mke),
6. Kupenda Kurukiarukia Mambo Ya
Watu Wengine (Tabia Ya Kufuatilia
Mambo Yasiyokuhusu),
7. Kuumwa Na Kichwa,
8. Kukakamaa Mgongo (Wanaume)
9. Kuingiliwa Kirahisi Na Jini Mahaba,
10. Kupoteza Umakini Ktk Kazi
(Efficiency),
11. Siku Ukikutana Kimwili Na
Mwenye Virusi Bila Kinga
Utaambukizwa Kirahisi Mno

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE



Fuatilia baadhi ya madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile hapa (Ni mbaya sana usijaribu)
  1. Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto. Tukio hili humsababishia aibu kubwa mwanamke, kiasi cha kumshushia hadhi yake mbele ya jamii.
  1. Pia anaweza kumuua mtoto kwa vile kila akimsukuma atoke, pumzi hukata kutokana na misuli inayofahamika kwa jina la ‘sphincter’ kulegea na kusababisha ambane mtoto.
  2. Umri unaposonga, haja kubwa hutoka bila kizuizi kutokana na misuli ya sphincter inayobana njia ya haja kubwa kulegea.
  3. Inaweza kusababisha saratani ya eneo hilo ‘cancer of colon’.
  4. Ugonjwa wa UTI, yaani uambukizi kwa njia ya mkojo, huwa sugu, maana akitokea mwanaume alifanya kitendo hicho kisha akafanya ngono kama kawaida, bakteria wanaoishi sehemu hiyo wanaingia na kuwa na madhara makubwa.
  5. Hasara yake kubwa mwanaume anayekufanyia mchezo huwa hawezi kukuoa, pia ni rahisi kukutangaza kwa jamaa zake na kuonekana kituko mbele za watu, kama umeolewa heshima yako hupungua ndani ya ndoa.
Mwisho kabisa baada ya kuharibiwa ni kuwa na msongo wa mawazo na kuilaumu nafsi yako. Nina imani umeona baadhi ya madhara hatari kwa mwanamke kuingiliwa kinyume cha maumbile.
Mchezo huo ni mbaya, najua aliyeuanza muda mrefu utamsumbua kuuacha kutokana na hali anayokutana nayo. Lakini ukiivumilia kwa muda lazima itakata na kurudi kwenye hali yako ya zamani.

MADHARA YA PUNYETO

MADHARA YA PUNYETO AU KUJICHUA

1. KUJICHUA INAUA NGUVU ZA KIUME:
Kitendo cha kujichua kinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unajichua jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inalegea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama hauwi strong unakuwa kama umelegea. Binti anakuwa amejitunza anajua siku nitakapoolewa mambo yote yatakuwa sawa anafika ndani na kukuta kumbe! kiungo kilishatumika sana kabla ya wakati.


2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:
Mara nyingi mtu aliyezoea kujichua atakumbana na tatizo au changamoto ya huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mwezi wake na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara nyingine na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mwenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea na tendo hilo.


3. Huchangia Kuleta Uharibifu Katika Mishipa ya Fahamu.
Wanaume wengi sana wanatumia mikono mikavu kujisaga, wengine ni mafundi "garage" mikono yao imezoea kushika vyma na vitu vizito, weingine ni mavundi ujenzi mikono yao imezoea kushika mawe na matofari, wengine ni wakulima hodari wamezoea kushika jembe mpaka mikono imeota sugu. Kile kiungo ni laini sana, misipa yaa kiungo hicho haikukusudiwa isuguliwe na mikono mikavu na migumu kama hiiyo. Jambo hili huwafanya waharibu mishipa ya fahamu inayounganisha uume na mfumo uliopo kwenye ubongo.
Uharibifu huu humfanya mwanaume apoteze msisimko wa kujamiiana au hata akiupata humfanya ashidwe kufikisha hisia zake kisawasawa hasa akikutana na mwenzi wake ambaye sehemu zake nyeti ni laini sana tofauti na mikono alozoea kujichua nayo.


4. Tatizo la Kihisia.
Jambo jingine hatari linalo mkabili anaye jichua ni upotevu wa hisia wakati wa kujichua kwa mfano ili afike kwenye kilele lazima akuze hisia zake kwa kiwango cha juu, pengine kupita ukweli halisi ataokutana nao pindi atakapokuwa na mke faraghani.


5. Anayejichua Hatoshelezeki.
Anayejichua hajitoshelezi mpaka amlete kwenye hisia mrembo kama Miss World au mwanamke Fulani mashuhuri kisha amvike utundu wa kimahaba ampe manjonjo hadi mwenyewe atosheke, kwa namna hii mwanaume mwenye kufanya mazoea ya kufanya hisia za wanawake warembo mbalimbali ambao hawezi kuwapata kwa hali halisi anapokutana na mke wake humuona kama wa kawaida sana kulinganisha na wale aliokuwa nao katika kujichua na hapo kamwe hawezi kusisimka mwili na hivyo kujikuta Uume wake husimama kwa kiwango cha chini sana.

MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI



MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KUPITA KIASI
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida Nyingi,lakini linapo kuja swala la ku zidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.kuna watu ambao hawawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kilia siku anatumia'chakula cha usiku' kwa sababu tu hakuna wakumkataza na kwamba anahaki ya kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema kwa upande mwingine,lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi Kati ya watu wa nao lalamika kupoteza hisia za kimapenzi kutoka katika kundi la watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo yapo madhara mengine mengi ambayo Mtu asiye kuwa na kiasi katika tendo landoa anaweza kukabiliana nayo,hivyo ni vyema tukajifunza ili tusiwe watu wakuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapo kutana hata kwenye nguzo ya umeme chini ya mti kwa vile tu miili imetaka kafurahika.
Twende pamoja katika kutambua madhara hayo kwa kina.


KUPOTEZA HAMU YA TENDO
Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza haraka hisia za kufanya mapenzi kwa wenzi wao kutokana na sababu za kisaikolojia zinaweza kujitokeza Wakati. Waufanyaji wa tendo la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi chakukosa msisimko hata Anapo muona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza. Kutokana na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi napengine kutanda kimoja au chumba kile kile ,jambo ambalo linaweza kumfanya muhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo hupoteza hamu naye na kihisi kama hawezi kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
KUU JAZA MWILI TAMAA KUBWA
Tabia ya kufanya mapenzi. Mara kwa mara huongeza uzalishaji wa homoni mwilini uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa kwa tendo la ndoa bila kukosa na hivyo humfanya mhusika asiwe Mtu mwenye uwezo wa kuzuia tamaa na kukosa chaguo la nani wa kufanya nae mapenzi na kwa wakati gani.
Watu wana jiendekeza katika kufanya. Mapenzi. Mara kwa mara ndio wale ambao kila wanae mtazama barabarani humtamani bila kujali hadhi yake.
Unakuwa Mtu wa kufanya. Mapenzi mara kwa mara huwezi kuwa na uwezo wakuizuia tamaa yako.mwinza wako akiondoka siku mbili utatamani uwe na yeyote aliye karibu yako ili akukate kiu ya penzi.
KUPOTEZA RAHA KAMILI YA TENDO
Raha ya tendo hutegemea na hisia iliyo kuzwa kutokana na mapenzi sahihi au kuwa na kiu ya kufanya mapenzi,hivyo basi ukiwa Mtu wa kufanya mapenzi kila mara unaweza kupoteza msisimko wa tendo na kujikuta unapata furaha ambayo haikutoshi kumaliza tamaa yako.
Kama ni mapenzi utakua unafanya kwa mazoea tu na msisimko. Wako Utakuwa mdogo!
KUPOTEZA NGUVU ZA MWILI
Mazara mengine yanayo weza kupatikana kwa kufanya mapenzi mara kwa mara ni pamoja na kupoteza nguvu nyingi za mwili.
Kama tujuavyo tendo la ndoa hasa kwa wanaume huwafanya watumie nguvu nyingi,hivyo huufanya mwili uchoke.
Aidha lishe inapo kuwa ndogo kwa wafanya mapenzi mwili hukosa nguvu za kutosha kuhimili misukosuko ya kimaisha.
Sambamba na hivyo mbegu za uzazi zinazo toka kwa wanaume wafanyao mapenzi mara kwa mara huwa dhaifu.
KUPATA MAGONJWA
Wanao fanya mapenzi mara kwa mara huwa holela ambayo huweza kuwa sabababishia magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi,lakini ufanyaji wa mapenzi usiyo kuwa na msukumo wa kutosha hasa kwa wana wake huwa fanya waishiwe misisimko na huzi fanya sehemu zao za siri kuto toa ute unao weza kuwakinga na michubuko wakati wakuja miiana na hivyo huwa sababishia michubuko itayo weza kuleta maambukizi ya haraka ya magonjwa ya zinaa na ukimwi ukiwemo.