Ushauri
Tuma mkasa wako wa kimapenzi yaani unaohusiana na mapenzi tu, ili upate ushauri juu ya yale yote yanayokutatiza. Usikate tamaa jaribu kutafuta ushauri kwanza na sikuzote ushauri haulingani hivyo jaribu na kwetu pengine ushauri wetu utakufaa zaidi na kusaidia kutatua tatizo lako.
Je! tutakusaidia ushauri wa aina gani? kwa mambo yapi?
Tutakusaidia ushauri kwa mabo yote yahusuyo mapenzi, ISIPOKUWA MATATIZO YA KIAFYA KATIKA MWILI WAKO HAPO TUNAKUSHAURI UMWONE DAKTARI.
Tuma mkasa wako kupitia email mackiof@gmail.com, Tutaupost mkasa wako pamoja na ushauri wetu juu ya tatizo uliloomba ushauriwe.(hatutaambatanisha tarifa zako binafsi, hivyo usiwe na wasiwasi) au kama hutapenda mkasa wako tuupost basi tutakutumia ushauri wetu kupitia email yako moja kwa moja. KARIBU SANA
Subscribe to:
Posts (Atom)
Kuna mwanamke nampenda sana nimejaribu kumtongoza ila yeye haoneshi ushirikiano nimetumia kila kitu kumwaminisha mimi ni mtu sahihi ila yeye haoneshi ushirikiano .nimejaribu kumwonesha hadi utajiri wangu ila yeye bado anamtumwengine na hataki kumwacha naombeni msaada nifanye nini ila na mimi najijua sio mtu wa kuongea sana nifanye nini ili aje kwangu
ReplyDelete