Kunihusu

   Blog hii inazungumzia ubora wa mapenzi na adha zake, tunajaribu kuangazia kwa kila namna ni jinsi gani mapenzi yalivyo matamu pia ni jinsi gani watu wanvyopata adha ama kuyachukia mapenzi basi yote hayo tutajaribu kuyapitia kwa undani ili tuweze kubaini ni nini hasa chanzo na ni namna gani ufanye ili kutatua tatizo.
  Lengo kuu ni kukufunza wewe msomaji wetu kwa kukuandalia maada nzuri zenye kuelimisha pia kukuburudisha kwa kila aina za utani tunazoweka ktk blog hii. Karibu sana kama utakuwa na lolote la kuchangia juu ya mapenzi labda una mkasa flani au stori nzuri ya kimapenzi inayoelimisha unaweza kututumia kupitia email hii mackiof@gmail.com

1 comment: